Kocha wa klabu ya Manchester city, Pep Guardiola amechaguliwa tena kuwa kocha bora wa mwezi Novemba akiwa kama kocha bora wa mwezi huo.
Kocha huyo ambaye kwa sasa ameiongoza Manchester city kuwa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza.
Guardiola ameshinda tunzo hiyo ikiwa mara ya tatu msimu huu, akishinda pia mwezi Septemba na mwezi Oktoba.
Pep amewapiku makocha wengine waliokuwa wanawania tunzo hiyo ambao ni Chris Dyche wa Burnley, Jose Mourinho wa Man utd, Jurgen Klopp wa Liverpool, Antonio Conte wa Chelsea na Arsene Wenger wa Arsenal.
Hongera Guardiola.
Post a Comment
Post a Comment