Tunzo za Ballon d'or zinatarajiwa kutolewa huku wengi wakimtazama Cristiano Ronaldo kama mshindi wa tunzo hiyo na mpaka sasa kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike ambayo ndiyo inamzamini imepanga kutoa viatu maalumu kwa ujio wa tunzo hiyo.
Lakini haitokuwa rahisi kwa Ronaldo kushinda tunzo akikutana na mshindani mwenzake Lionel Messi ambaye wiki kadhaa nyuma alishinda tunzo mbili za mfungaji bora wa Ulaya na ligi kuu Hispania.
Post a Comment
Post a Comment