Wakongwe wa soka waliowai kutamba miaka kadhaa nyuma wanategemewa kuzipamba shughuli ya kupangwa makundi ya kombe la dunia mwaka 2018 yatakayofanyika mjini Moscow uko nchini Urusi.

Magwiji Diego Maradona, Laurent Blanc, Gordon Banks, Cafu, Fabio Canavarro, Diego Forlan na Carles Puyol ndio wanaotegemewa kufika katika shughuli hiyo ambapo Gary Lineker atakayesimamia shuguli nzima.

Makundi 8 yenye timu 32 ndiyo yanayotarajiwa kupangwa siku hiyo ya desemba 1 na wakati kombe la dunia linatarajiwa kufanyika mwezi juni mwakani.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.