Leo historia mpya imeandikwa katika kumbukumbu za soka Afrika na hata duniani kabisa.
Kwa mara ya kwanza mataifa manne ya kiarabu yamefuzu kucheza michuano ya kombe la Dunia mwaka 2018 huko nchini Urusi.
Saudi Arabia, Morocco, Misri na Tunisia ndizo nchi zilizoandika historia hiyo.
Morocco alimbamiza Ivory Coast kwao kwa mabao 2-0 na kumuhakikishia kuwa mshiriki mmoja wapo kama sio bingwa wa mashindano hayo.
Post a Comment
Post a Comment