Nyota kinda wa timu ya taifa ya Uingereza, ambaye alikuwa nyota wa mchezo kati ya Uingereza dhidi ya Ujerumani, Ruben Loftus-cheek jana amepata majeraha katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Brazil ulioisha kwa suluhu ya bila magoli yaani 0-0.
Loftus-cheek aliumia katika mchezo huo ambapo aligongana na nyota wa Brazil, Neymar na kumfanya kutolewa dakika ya 36 na nafasi yake kuchukuliwa na Jesse Lingard.
Loftus-cheek aliyefanya vizuri kwenye mchezo wake wa kwanza wa timu ya taifa dhidi ya Ujerumani na kumfanya awe gumzo mitandaoni kwa kiwango alichokionyesha.
Cheek (21) ni kiungo wa Chelsea anayeichezea klabu ya Crystal Palace inayoshiriki ligi kuu Uingereza.
Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate alipoulizwa hali ya nyota huyo alisema "ni maumivu ya mgongo, lakini atafanyiwa matibabu na kupona haraka"

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.