Klabu ya Barcelona inaonekana inaenda kukubali mpango wa kiungo wake raia wa Uturuki, Arda Turan ambaye anatakiwa na Galatasaray.
Kiungo huyo mwenye miaka 30 anaonekana kutokuwa kwenye mipango ya kocha Valverde wa Barcelona.
Rais wa Galatasaray alipoojiwa kuhusu mpango huo alisema "tunalifanyia kazi hilo" kuonyesha wanafanya mazungumzo ili kumvuta mchezaji huyo kwa mkopo katika dirisha la usajili la majira ya joto.
Post a Comment
Post a Comment