Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona ambaye ni raia wa Argentina, Lionel Messia mesaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni Barcelona mpaka mwaka 2021.
Messi amesaini mkataba huo mara baada ya tetesi nyingi kwa mchezaji huyo kuhusishwa na kuondoka klabuni hapo ambapo klabu ya Manchester city ilikuwa inatajwa kumsajili nyota huyo ambaye jana alifanikiwa kutwaa tunzo ya mfungaji bora mara nne akiwa sawa na nyota mwebnzake wa Real Madrid. Kama kuna klabu itatokea tena ikisema itamtaka imsajili Lionel Messi itamlazimu atoe kiasi cha euro milioni 700.

Post a Comment
Post a Comment