Baada ya ushindi wa Roma wa bao 3-0 dhidi ya watoto wa darajani chelsea na kuweka mshuko mkubwa darajani,kingine kikubwa kilichoshtusha watu zaidi katika mechi hiyo ni pale kiungo perroti alipoonekana akimshika mwenzake (El-shaarawy) makalio wakati anashangilia goli lake
Hii imeibua mijadala mingi twitter huku watu wengi wakisema wawili hao labda sio riziki.
Post a Comment
Post a Comment