Miamba ya misri leo hii ikiwa mazoezini mjini cairo misri,ilivamiwa na mashabiki na kupelekea kuahirisha mazoezi yao.

Miamba hiyo ambayo inatarajia kucheza mechi yao ya pili ya Fainali ya Vilabu bingwa vya afrika dhidi ya Wydad Casablanca,ilibidi waahirishe maandalizi yao ya mechi hiyo baada ya maelfu ya mashabiki wenye hisia kali na timu yao kuvamia uwanja ili kuonesha hisia zao.

Wakiwa katika katika kiwanja cha wazi cha mazoezi mjini cairo kinachoitwa
Mokhtar El-Tesh ,al ahly walishindwa kuendelea na mazoezi na kupelekea kusitisha zoezi hilo.

Licha ya kushindwa kujiandaa kurokana  na uvamizi huo,ila ah ahly wanakila sababu ya kufurahi kwa sababu wanajua wana mashabiki ambao wanawatakia kila la kheri.

Baada ya kudroo mechi ya kwanza 1-1 dhidi ya wyad,mabingwa hao wanatarajia kushuka dimbani katika mechi ambayo itaamua nani bingwa huko casablanca.


Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.