Mshambuliaji wa chelsea Eden hazard alitoa majibu haya baada ya kuulizwa kuwa anauchukuliaje mchezo wa leo jumapili dhidi ya Manchester united
Hazard alisema hivi
"Ni mchezo mgumu na wanaweza kutumia mbinu nyingine ili washinde,kama mnakumbuka old traffor"
Msimu uliopita katika mechi ya pili iliyopigwa old trafford kati ya chelsea na man u,kocha wa manchester united alitumia mfumo wa akabaji unajulikana kama Man marking na kumpoteza kabisa Eden hazard kwenye mchezo na kuweza kuibuka na ushindi wa goli 2-0
Hazard anaendele
"Najua watatumia mfumo mwingine na sisi tupo tayari kuwajibu uwanjani"
Leo sa moja na nusu usiku,Chelsea wanavaana na Man u katika dimba la Stamford bridge.
Post a Comment
Post a Comment