Mchezaji raia wa Tanzania, Farid Mussa anayecheza soka nchini Hispania katika klabu ya Tenerife B amepata majeraha.

Mchezaji huyo amepata majeraha ambapo anategemewa kusafirishwa kwenda jiji la Madrid ili kufanyiwa uchunguzi na majeraha hayo yanaelezwa kumweka nje mchezaji huyo mpaka mwisho wa msimu.

Farid amepata majeraha hayo siku moja baada ya mchezaji mwengine raia wa Tanzania anayekipiga huko Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta kupata majeraha hapo jana ingawa yeye anatajwa kuwa nje kwa wiki sita.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.