Chama kinachosimamia michezo vyuoni nchini Tanzania (TUSA) kimeingia mkataba na kampuni ya Clouds Media Group ambayo inasimamia chaneli za Clouds Tv na Clouds Fm na taasisi ya Shadaka, katika kusimamia michezo ya vyuoni itakayofanyika mkoani Dodoma kuanzia tarehe 14 mwezi desemba mpaka tarehe 20 mwezi huo.
Post a Comment
Post a Comment