Michuano ya soka ya Afrika Mashariki na kati, Cecafa imesogezwa mbele ambapo ilitegemewa kuanza novemba 25 mwaka huu na sasa imesogezwa mbele mpaka desemba 3.

Mashindano hayo ambayo itafanyika nchini Kenya imesogezwa mbele na kupanga kufanyika mwezi desemba huku safari hii timu za taifa za Zambia na Libya ndizo zitakazoshiriki kama washiriki waalikwa.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.