Klabu ya Besiktas imefanikiwa kufuzu kucheza hatua ya 16-bora katika michuano ya klabu bingwa Ulaya maarufu kama Uefa.
Besiktas imefuzu kucheza hatua hiyo mara baada ya kutoka suluhu ya 1-1 dhidi ya FC Porto na kuifanya Besiktas ifikishe alama 11 zinazomfanya kufuzu hata kama mchezo uliobaki akifungwa.
Post a Comment
Post a Comment