Mastaa wawili wa filamu iliyochukua umaarufu mkubwa duniani iitwayo "Michezo ya kifalme" ama Game of Thrones Mwanadada Sophia Tuner "Sansa" na mwimbaji Joe Jonas wanatarajia kuoana hivi karibuni.
Wawili hawa wamekuwa kwenye mahusiano tangu mwaka jana "2016" mpaka hapo walipofikia hatima ya kufunga ndoa.
Mwanadada Tuner Alipost katika twitter yaker Pete ya almasi huku ikiwa na caption ya "Nimekubali" pia kaka wa muimbaji Joe jonas nae hakuwa mbali kuwapongeza wawili hao katika post nyingine ya twitter.
#Vibes
#Vibes
Post a Comment
Post a Comment