Baada ya mechi ya ligi kuu ya England kuisha kati ya Liverpool na Man united inayoongozwa na Jose mourinho,kocha wa liverpool amenukuliwa akilaani vikali aina ya mchezo ambao kocha wa man united amekuwa akiutumia kwa muda katika klabu nyingi alizofundisha kwa Lengo la kupata ushindi wa kubahatisha katika big matches.
Kabla ya mchezo huo mou alinukuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa watacheza beki mmoja na forward tisa akimaanisha watashambulia dhidi ya Liverpool lakini mambo hayakuwa hivyo uwanjani ambapo mchezo mzima ulitawaliwa na majogoo wa jiji huku man united wakifanya kile kinachoitwa "Kupaki bus".

Klopp alisema " Sisi hatuwezi kushinda Ligi kwa kucheza kama wanavyocheza wenzetu.Wao wanaamini kwa kucheza hivyo watashinda ligi na sisi hatuwezi kuwalalamikia maana mou akiuamua kufanya kitu anafanya na amefanya miaka mingi sasa.Ila kwa miaka 125 sisi hatuwahi cheza hivyo na hatuwezi"
Mchezo uliisha bila kufungana huku mshambuliaji wa manchester united " Romelu lukaku" akigusa mpira mara 22 tu ndano ya kipute chote

Tafadhali tembelea lage yetu ya Facebook "Mitaani kwetu" kwa habari nyingi

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.