Baada ya kuifungia bao la pekee Man united dhidi ya spurs,mshambuliaji antony martial ambaye aliingia kipindi chapili nafasi ya marcos rashford akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo alisema haya;
"Kocha aliniambia nikiingia uwanjani nitafute nafasi"
"Namimi najua kuwa Lukaku ni mzuro kwa kichwa ndio maana nilipomuona yupo pale,nikakaa sehemu nzuri"
"sipend kukaa benchi kabisa"
Ushindi huu wa man united,unaiweka timu hiyo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu yab uingereza wakiwa na pointi 23
Post a Comment
Post a Comment