Kiuongo na beki wa barcelona javier mascherano jana aliweza kufungua akaunti yake ya magoli ndani ya barcelona baada ya kucheza mechi 319 bila kuifungia timu hiyo.
Messi alifunga bao lake la 500 katika classico lakini javier yeye alifanikiwa kufunga bao lake la kwanza ndani ya miaka 7 aliyokaa camp nou.
Muargentina huyo ambaye ana goli tano katika ngazi ya kimataifa mara ya mwisho kuzifumania nyavu ilikuwa ni katika mchezo wa europa ligi alipokuwa liverpool dhidi ya Unirea Urziceni.
Post a Comment
Post a Comment