Liverpool au ukipenda waite majogoo wa jiji jana wamemshusha nafasi ya pili manchester city na kujiweka sawa katika mbio za ubingwa hapo baada ya kumchapa stock city bao 4-1 anfield hapo jana
Licha ya Liverpool kuwa nyuma kwa bao moja baada ya dakika 12' tu za mchezo lakini mabao ya Lallana,filmino.sturdge na moja la kujifunga la imbula yaliweza kuyipa ushindi liverpol katika mechi hiyo iliyojaa ubabe wahapa na pale
Ushindi wa jana unaifanya Liverpool kupunguza gepu na vinara chelsea kufikia pointi sita
MAN OF THE MATCH: JAMES MILNER
Post a Comment
Post a Comment