Hii ni mara ya kwanza kwa madrid msimu huu kweka clean sheet tangu mwezi wa tano.
Gareth bale amezidi kuonesha kwa nini analipwa £600,000 kwa wiki kwa kupiga mabao mawili mazuri dhidi ya leganese ndani ya dakika saba tu.
Hari sio nzuri bado kwa kiungo Ronaldo ambaye baada ya mechi alipost picha twitter ambayo inaonesha kuwa bado hana furaha kwa kukosa kushinda .

Post a Comment
Post a Comment