Olango mwenye u mri wa miaka 38 ambaye ni raia wa uganda ambaye ameishi marekani tangu utotoni(mkimbizi) aliuwawa jumanne katika mji wa EL CAJON huko marekani na maafisa wa polisi wakidai olango alitaka kuwaoiga na risasi.

Lakini baada ya uchunguzi maafisa hao wapolisi walikiri kwamba olango ambaye mama yake alikuwa anasema alikuwa na matatizo ya kili hakuwa na siraha yeyote bali alikuwa na sigara ya kisasa yenye urefu wa cm 12.

Mji huo umekuwa na vurugu tangu siku ya jumanne hali iliyowafanya maafisa wa polisi wa mji  huo kutoa mkanda wa video wa tukio hilo la kuuwawa kwa olango ili kujaribu kutuliza ghasia za wananchi.

Video hiyo inaonyesha maafisa wa polisi wakimkaribia olango ambapo afisa mmoja alimfyatulia risasi mara nne olango na kupoteza misha.Witnesses describe police shooting

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.