Mji wa aleppo uliopo mjini syria umeendelea kushambuliwa tena na waasi baada ya leo asubuhi mashambulizi hayo kulipua hospitali mjini humo.
|
Wananchi wakijaribu kusaidia watu waliokutwa na matatizo aleppo |
Hospitali hiyo inayofadhiliwa na kundi la SYRIAN AMERICAN MEDICAL SOCIETY limeeleza kuwa hospitali hiyo imeshambuliwa na makombola mawili.Pia ikumbukwe hospital hiyo ilishambuliwa tena mapema wiki iliyopita.
Ripoti zinaibuka kwamba vikosi vinavyoungwa mkono na Urusi pamoja na vikosi vya Syria vinashambulia mji wa kale wa Allepo, na kukabiliana na waasi katika mitaa mbalimbali.
Post a Comment
Post a Comment