"The Klopp effect" imeendelea kufanya kazi yake huko mjini liverpool baada ya Timu hiyo kuitembezea kichapo Spurs katika kombe la ligi.
Magoli mawili ya liverpool yalifungwa na mshambuliaji Daniel sturridge katika vipindi vyote viwili na goli pekee la spurs lilifungwa kwa njia ya penati baada ya kiungo wa spurs erick lamela kufanyiwa mazambi ndani ya eneo la hatari.
Liverpool sasa wamecheza mechi tisa bila ya kupoteza
MATOKEO MENGINE.
Reading 0-2 Arsenal

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.