Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, hii stori inaendana kwa upande fulani na stori nayokuletea lao.
Nar Kumar ni mtoto mwenye umri wa miaka 11 mwenye tatizo la kubadilika kuwa jiwe. Tatizo ilo linaitwa Lchthyosis ambalo limemtokea alipozaliwa lakini alipotimiza umri wa miaka 6 alishindwa kutembea kabisa. Hatembei na wala haongei anatoa ishara tu, na watoto humkimbia kwa kuwa wanamuona anatisha.
Nimekuwekea video hapa...
Post a Comment
Post a Comment