Leo katika House of Bongo movies tunaizungumzia movie ya Nzowa ambapo wahusika wake ni Hissan Muya, Sajuki (Marehemu), Wastara Juma na wasanii kadhaa akiwemo Suzan Lewis.
Ni movie ambayo inamhusu Hissan Muya kijana ambaye amezaliwa kijijini, akilelewa na kukuzwa bila kumfahamu baba yake. Lakini kutokana na maisha magumu ya kijijini akaamua kwenda mjini kutafuta maisha na kufanikiwa kupata kibarua katika familia flani kama mfanyakazi wa ndani.
Alipofika katika familia iyo ambapo kuna baba ambaye baba uyo ndiye baba yake Hissan lakini wote kati yao hakuna anayejua, wakati Hissan ndo anapewa kazi ya kumtunza baba uyo kwa kuwa ni mgonjwa.
Story & Script: Hissan Muya
Director; Kulwa Kikumba
Post a Comment
Post a Comment