Beki raia wa ivory coast erick baily atakuwa nje ya uwanja kwa muda usiopungua miezi miwili baada ya kupata majeruhi jumapili iliyopita wakati wa mechi dhidi ya chelsea stamford bridge.
Baily aliumia pale timu yake ya man united ilipopokea kipigo cha bao 4-0 stamford bridge
Diego costa na erick baily katika mechi yao juapili.
MECHI ATAKAZOKOSA BAILY
Post a Comment
Post a Comment