Ukiachana na headlines za uongozi wa klabu ya Yanga kudaiwa kumleta kocha mpya katika klabu hiyo George Lwandamina kutoka Zesco United ya Zambia taarifa mpya zimetoka Yanga wamemteua mfaransa Jerome Dufourg kuwa afisa mtendaji mkuu wao(CEO).
Yanga wameripotiwa kumpa nafasi hiyo Jerome Dufourg ambaye ni mtaalam wa sports business kufuatia mwenyekiti wao Yusuph Manji kudai kuwa Yanga ilipata hasara ya zaidi ya Tsh bilioni 1.5 kwa mwaka jana, Dufourg anatajwa kupewa majukumu ya kuendesha shughuli za klabu hiyo na mipango ya fedha.
Post a Comment
Post a Comment