Je wajua?
Yule bosi alietikisa na anayeendelea kutikisa hapa nchini Tanzania ambaye amekuja kama mwekezaji akimiliki kampuni ya kuzalisha cement mkoani Mtwara,  Aliko Dangote ndiye tajiri kuliko wote akikaribia kuwa na utajiri wa $12. 9 Billioni akiwa ndiye tajiri wa 51.  Lakini anayeongoza orodha hiyo ya matajiri duniani ni Bill Gates akiwa na utajiri wa $75 Billioni.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.