Miss Pellegrine's Home of Peculiar Children
Ni movie inayomuelezea kijana mmoja anayeitwa Jacob aliyeenda mahali flani na kuikuta nyumba ya bibie Pellegrine anayeishi na kuwalea watoto wenye nguvu za ajabu.
Ilizinduliwa tarehe 30/09/2016
Muda wake ni masaa 2 na dakika 7
Muongozaji Tim Burton aliyezaliwa mwezi August, 25. 1958, aliyewai kuziongoza movie kama Bartman returns (1992) na animation ya Corpse Bride (2005)
Waandishi wa movie hii tamu ni Jane Goldman na Ramson Riggs
Mastaa wa movie iyo ni pamoja na Eva Green, Asa Butterfield na Samuel L. Jackson

Usikose nakala yako.....
Post a Comment
Post a Comment