Leo katika historia tunazungumzia tukio lililotokea katika mashindano ya Olympic kupinga unyanyasaji kwa watu weusi lililotokea 1968, Black salute

Baada ya kushinda mbio za mita 200  wamarekani wawili weusi Tommie Smith ambaye alishinda medali ya dhahabu kwa kushinda kwa sekunde 19.83, na John Carlos aliyeshinda medali ya fedha aliyemaliza nafasi ya tatu kwa kutumia sekunde 20.10.

Baada ya kushinda mbio hizo wamarekani hao weusi walipokaa katika kile kijukwaa cha kupokelea medali, walipopokea na nyimbo ya taifa la Marekani kuanza kupigwa huku bendera kaunza kupandishwa ndipo wanariadha hao wakanyoosha mikono yao ambayo walivaa soksi nyeusi alama ambayo ilibatizwa jina la black salute.

Baada ya kuhojiwa wanariadha hao walisema soksi nyeusi zinamaanisha umaskini wa watu weusi. Pia Tommie Smith alivaa scarf nyeusi zikimaanisha sifa ya mtu mweusi na pia John Carlos alivaa suruali isiyofungwa zipu akimaanisha ukuu wa mtu mweusi.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.