Amani ya Syria ipo matatani kwa muda mrefu mpaka sasa, watu wanakufa kila iitwapo leo. Watu wanaendelea kujitoa muhanga katika kutetea kile wanachokiamini. Mtu mmoja maarufu aliwai kusema "je utaendelea kuamini kile unachokiona kipo sahihi hata kama watu wataona haupo sahihi?" swali hili au msemo huu ni ndio unaofanya mengi mabaya kuendelea kutendeka nchini umo (Syria).
Mazungumzo kadhaa yanaendelea kufanyika kuweza kumaliza tatizo hilo la nchini Syria. Marekani na Urusi nchini ambao zina nguvu kiuchumi, kijeshi na hata kisera duniani zimejaribu kukaa chini mara kadhaa kuweza kujaribu kulimaliza tatizo hilo bila mafanikio.
Marekani yupo katika mazungumzo hayo kwa kuwa yenyewe ipo ili kumsupport mpinzani wa serikali kuu ya Syria wakati Urusi akiisupport serikali kuu. Kwa maana nyengine unaweza kusema amani ya Syria ipo mikononi mwa Marekani na Urusi.
Post a Comment
Post a Comment