Watu kumi na mbili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya treni mbili kugongana kusini mwa Italia, katika mkoa wa Apulia.
Idara ya mawasiliano  ya jimbo hilo ilikuwa na haya ya kusema
"Watu kumi na mbili wamepoteza maisha, ni rasmi, na kuna labda watu wawili walioongezaka kwenye idadi hiyo,"
vyombo vya habari kadhaa vimearifu kuwa watu 20 wamepoteza maisha, vikimnukuu Makamu wa rais wa mkoa, Giuseppe Corrado, lakini hakuna chanzo kingine kilikua na uwezo wa kuthibitisha rasmi idadi hii mapema mchana.
Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika watu thelathini wamejeruhiwa, wengi wakiwa katika hali mbaya.
Viongozi katika mkoa huo wametoa wito kwa wahisani kuja kutoa damu na wameitisha madaktari na wauguzi wote walioko katika likizo, kufuta shughuli zote zisizokuwa za dharura katika hospitali.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.