sikia maneno ya Rais Magufuli wakati akiwaapisha wakuu wa Mikoa wapya na wakuu wa wilaya kula kiapo cha uadilifu alitamka
''Tulikuwa tunafuatilia kwenye revenue, yuko mtu mmoja alikuwa anafanya transaction ya fedha kila dk 1 kati ya milioni 7 na 8. Serikali ilikuwa inapoteza pesa, bahati nzuri huyo mtu yuko mikono salama, tunatafuta jinsi ya kuzirudisha''
je,tutafika?
ufisadi utaisha kweli?
huyu MTU ambae hawawezi kumtaja ni nani?
Amekuwa akifanya hivo kwa muda gani?
najiuliza tu
ufisadi utaisha kweli?
huyu MTU ambae hawawezi kumtaja ni nani?
Amekuwa akifanya hivo kwa muda gani?
najiuliza tu
Post a Comment
Nabado tunazidi kupoteza nyingine zaidi kwa kumkumbatia kwenye hio mikono salama.Kama jambo limeshathibitishwa chakufanya ni kufilisiwa harakaharaka na kupelekwa gerezani.
Post a Comment