Makampuni matatu makubwa duniani ya BMW,Intel na computer vision yameingia mkataba wa makubaliano ya kutengeneza magari ambayo yatakuw na uwezo wakutembea yenyewe bila msaada wa binadamu...
Kwa mujibu wa BMW,wamesema magari hayo yataweze kutembea maeneo mbali mbali ikiwemo barabara kubwa na zile za mitaani..
pia wamesema kutokana na makubaliano hayo,wanaamini project yao itakamilika mnamo mwaka 2021
Post a Comment
Post a Comment