Borrossa Dortmund wamekubali dau LA Manchester united kwa kiungo wao Henrikh Mkhitaryan...
Ujio huu wa henrikh unafuata baada ya mapema wikii hii,kapteni mstaafu wa Sweden ZLATAN IBRAHIMOVIC kumwaga wino old Trafford
Kapteni Huyo wa armenia inakaririwa kuwa atapata vipimo vya afya hapo kesho ndani ya old trafford
Post a Comment
Post a Comment