Mapema Leo jumapili,milio mizito ya risasi na mabomu imeripotiwa kusikika karibu na base ya jeshi na makao makuu ya UN huko juba mjii mkuu wa sudani kusini..
Mapigano haya yameanza tena baada ya hapo Alhamisi watu zaidi ya 100 kupoteza maisha katika mapigano kama hayo wengi wakiwemo wanajeshi.
Matumaini ya amani yanapotea
Mapigano ya alhamisi ambayo yalidumu mpaka jumamosi yalianzia katika viwanja vya raisi
Salva Kiir alipokuwa akikutana na kiongozi wa zamani wa majasusi Machar na baadae mapigano hayo yakaenea mji mzima.
itaendelea....
Post a Comment
Post a Comment