Baada ya kuaga mashindano ya euro huko ufaransa kwa kukubali kipigo cha bao 6-5 kwa penati kutoka kwa mabingwa wa kombe la dunia ujerumani,Antonie conte anatarajiwa kukabidhiwa mikoba darajani..

Akiwa anasubiriwa kutambulishwa kwa mara ya kwanza hapo stamford bridge,aliyekuwa mchezaji wa zaman wa chelsea na mchezaj mwenzie antinie conte walipokuwa juventus huko turin G.vialli alisema haya.

"Baada ya chelsea kuwa na msimu mbovu wa 2015/2016,wachezaji wanatakiwa wafunge midomo na wamsikilize conte,naamini ni chaguo sahihii na ataleta matunda darajani"

Post a Comment

HABARIKA said... 3 July 2016 at 10:12

Haha!haha! haha!The blues

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.