MWALIMU ALIKUWA ANAFUNDISHA SHULE YA VICHAA NA ALIJIWEKEA UTARATIBU KUWA KILA MWISHO WA MWAKA ATAWAPA JARIBIO LA NANI AMEJARIBU KUPONA UKICHAA SIKU MOJA ALIPOKUWA DARASANI ALICHORA MLANGO UBAONI ALAFU AKAWAAMBIA VICHAA KUWA WATOKE NJE, WALE VICHAA WAKAKIMBILIA WOTE UBAONI ILI WATOKEE MLANGO ALIO UCHORA MWALIMU UBAONI, kulikuwa pia kuna mwanafunzi aliyekaa kwenye kiti mwalimu alimuuliza kwanini wewe hutoki nje kama wenzio? Yule kichaa alisema nashangaa wanang\'ang\'ania kutoka mlangoni wakati funguo ninazo mimi... By Big EviL

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.