CAVALIERS MABINGWA WAPYA NBA
Golden State W 89 (22 27 27 13)
Cleveland Cavaliers 93 (23 19 33 18)
LeBrone James apiga point 27, rebounds 11 na assists 11, aibuka MVP wa Fanaili.
Cavaliers yashinda mechi ya 3 mfululizo na kufikisha mechi ushindi wa mechi 4 kwa 3, na kutawazwa mabingwa wapya wa NBA wakiupora kutoka kwa Warriors
Cavaliers yashinda mechi ya 3 mfululizo na kufikisha mechi ushindi wa mechi 4 kwa 3, na kutawazwa mabingwa wapya wa NBA wakiupora kutoka kwa Warriors
Post a Comment
Post a Comment