Kiungo wa kimataifa wa italy ANDREA PIRLO Ameiaga timu yake ya aliyokuwa akiichezea ya juventus na kujiunga na ligu kuu ya ncini marekani katika timu ya NEWYORK REDBULL Ambayo pia inamilikiwa na mmliki ambaye anaimiliki man city ya EPL...

Usajiri wa pirlo umezua utata kwa wengi huku wakiamini kuwa anaweza akafata nyayo za kiungo wa zamani wa chelsea fc FRANK LAMPARD ambaye alisajiliwa na new york lakini kabla ya kuanza kuichezea timu hiyo ilibidi kwanza aje kucheza uingeleza kama mchezaji wa mkopo katika clab ya MAN CITY.

Maswali mengi yaliibuka pindi lampard aliposajiri man city kwa wengi,akiwemo kocha wa ARSENAL wakisema kuwa usajiri wake haukuwa sahii. Swali lililopo sasahivi  ni kuwa je na
ye pirlo atafuata nyayo izo za kiungo mwenzake frank lampard?
MAONI

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.