Against all odds
Jinamiizi lazidi kuikalia argentina baada ya kukubal kipigo cha mabao 4-1 ya enalti kutoka kwa chile katka fainali ya COPA AMERICA iliyofanyika chile jana.Katika mchezo huo ambao timu zote zilikosa nafasi za wazi,ilikuwa ni argentina iliyokosa nafasi ya kushinda bao la wazi katika dakika ya 91 ambapo Higuaini alishinwa kumalizia pasi nzuri iliyopigwa na Lavezzi. Hii inamaanisha kuwa messi bado anaonekana kutokuwa na bahati na timu yake ya taifa baada ya kukubali kipigo cha awali kutoka kwa ujerumani katika fainali za kombe al dunia 2014
Post a Comment
Post a Comment