Kocha wa Manchester city, Pep Guardiola huenda akakutwa na rungu la chama cha soka cha Uingereza, FA mara baada ya kuonekana akiongea na mchezaji wa Southampton, Nathan Redmond katika mchezo wa timu yake dhidi ya Southampton.

FA wamepanga kumuhoji Guardiola kuhusu nini aliongea na Redmond na kama ikionekana alimshawishi kivyovyote ili timu yake ifaidike basi anaweza kukutwa na hatia na kuadhibiwa.

Manchester city ilishinda mchezo huo kwa mabao 2-1.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.