Mabingwa wa uingereza msimu wa 2016/16 jion ya leo wamemtimua kocha wao shakespare baada ya mwanzo mbaya wa msimu kwa mabingwa hao wa zamani wa uingereza .
Shakespare ametimuliwa baada ya kikao cha bodi kilichoka jana na kuamua kuachana na meneja huyo rasmi baada ya timu hiyo kupata ushindi wa mechi moja tu kati ya nane walizocheza msimu huu.
Shakespare alichukuwa mikoba ya "The tinker man' ama Muitaliano Ranieri ambaye ndiye kocha mwenye mafanikio zaidi klabuni hapo.
Wikiend hii leicester walitoka sare ya moja moja na westbromich albion
Post a Comment
Post a Comment