Ernesto Guevara alimaarufu kama Che guevara mi mzaliwa wa Argentina ambaye baadae alikuja kuwa mwanaharakati na mwanamapinduzi ambaye alisaidia jamii nyingi za watu zilizokuwa zikionewa na Serikari zao kidikteta.
Che ambaye alikulia Cuba kama daktari,alizunguka sana ndani ya america katika maisha yake ya udaktari na kugundua umasikini uliokithiri unaowatesa wananchi huku akiamini kuwa serikari za kidikteta zilizopo madarakani ndizo zilizosababisha hayo na akijua kuwa mapinduzi ya kijeshi lekee ndiyo yatakayowezesha au kufanikisha mawazo yake.
Mwaka 1957 aliungana na mwanaharakati mwenzake Fidel castro (kafa Novemba 2016 miaka 90) kumtoa madarakani kiongozi wa kidikteta na raisi wa cuba batista na mnamo mwaka 1959 castro alishikiria dora na Che kuwa waziri wa viwanda wa nchi hiyo wadhifa ambao hakudumu nao kwa muda mrefu.
Che alizaliwa mwaka 1928 argentina na kufariki mwaka 1969 Bolivia baada ya kukamatwa kwa usaidizi wa majasusi wa kimarekani na kuzikwa kwenye kaburi la siri.
mwaka 2008 mabaki yake yalipatikana na kupelekwa cuba kuzikwa kwa heshima.
huyo ndo ERNESTO GUEVARA "CHE'

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.