Wabunge wa bunge la maseneta nchini Kenya wamelalamikia kwa hatua iliyochukuliwa na jeshi la polisi la nchi hiyo baada ya polisi kulizunguka bunge hilo wakati wa kujadiliwa kwa sheria ya uchaguzi wa nchi hiyo.
Nchi ya Kenya inatarajiwa kufanya uchaguzi hivi karibuni na kumekuwa  na vuta nikuvute baina ya upande wa upinzani na serikali kuu juu ya taratibu sahihi za kuchukuliwa wakati wa uhesabuji wa kura nchini humo wakati wa kipindi cha uchaguzi.
Mapema leo polisi walionekana kufanya doria katika bunge hilo na katika barabara za kuingia bungeni.
Hivi karibuni kumetokea na kutokuelewana baina ya wabunge wa upinzani na serikali kuu na hata kusababisha vikao vya bunge hilo la seneta kushindwa kuendelea kwa utulivu.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.