Vijana wawili wa jamuhuri ya czech,walinaswa na kamera wakiwa wamelala katikati ya reli ambayo inapitisha treni za mwendo kasi wapate kila wanachokiita kiki au views nyingi youtube
Kamishna wa reli wa nchi hiyo amesema wawili hao wangeweza kufa kama treni ingekuwa ipo katika mwendo kasi na kuwatoza faini ya fedha nyingi
kamishna huyo amesema kama treni ingekuwa katika mwendo kasi wa spidi 60-70 upepo ungekuwa mkali na nguo zao zingeweza kunasa kwenye treni na wangeweza kufariki
Post a Comment
Post a Comment