Hii ni kwa mara ya kwanza kwa Raisi wa marekani mh barack obama ambaeye ana asili ya kenya kukutana na Raisi mteule wa nchi hiyo Trump mara tu baada ya uchaguzi kuisha na kutangazwa mshindi.

Trump alipata nafasi hiyo baada ya kumbwaga mpinzani wake mkubwa na mke wa rais mstaafu wa nchi hiyo Hillary clinton .

Trump anategemewa kuapishwa tarehe 20 januari na kushika kiti cha obama.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.