Mwanamziki pitbul na jenifer lopez alimaarufu kama J.lo,wamekuwa katika urafiki wa miaka mingi ukiambatana na kazi nyingi za maana ambazo walishawahi kufanya pamoja ikiwemo ile ya ON THE FLOOR
Mwanamziki pitbull alivoulizwa juu ya mahusiano hayo alikuwa na mengi ya kusema
"Mara nyingi huwa natafutaga sababu tu ilimradi tu nifanye kazi na jennifer"
aliendelea kwa kusema "unajua kuna mashetani na malaika ,lakini jeniffer ni malaika kwangu,ni mchapakazi,anamoyo mzuri na si jeuri ndomana jennifer ni jenifer tu..
wawili hao wameshirikiana tena katika single yao "sexy body" ambayo ipo kene album mpya ya pitbul.
Post a Comment
Post a Comment