Maafisa wa polisi nchini Uturuki wamemkamata nduguye muhubiri wa kiislamu anayeishi nchini Marekani ambaye anadaiwa kupanga njama za mapinduzi mnamo mwezi Julai Fetullah Gulen .
Kutbettin Gulen ni ndugu wa kwanza wa muhubiri huyo kukamatwa.
Mafisa wa polisi wa kukabiliana na ugaidi wameripotiwa kupewa taarifa ya ndugu huyo kutoka kwa familia ya Gulen.
Fetullah Gulen amekana kupanga njama ya jaribio la kutaka kumpindua rais Reccep Tayyip Erdogan.

Source by
BBC Swahili
BBC Swahili
Post a Comment
Post a Comment