Kocha wa washika bunduki wa London mfaransa, Arsene Wenger amefichua wazi baada ya kuwepo tetesi za kutaka kuifundisha timu ya taifa ya Uingereza maarufu kama Three Lions.
Alikuwa akijibu swali aliloulizwa na waandishi wa habari kuhusu yeye kutakiwa na uongozi wa chama cha soka cha Uingereza,FA na kujibu
"yah, naweza kuifundisha pale ambapo muda utakapowadia"
"yah, naweza kuifundisha pale ambapo muda utakapowadia"
Kocha huyo mwenye miaka 66, anaenda kutimiza miaka 20 kuifundisha Arsenal siku ya kesho.
Post a Comment
Post a Comment